Bogobe jwa logala
Mandhari
Bogobe jwa logala ni mlo wa kifungua kinywa unaotengenezwa kama uji wa mtama uliopikwa kwenye maziwa yanayochemka. Mtu anaweza kuongeza sukari au la.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bogobe jwa logala kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |