Bobby Tamale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Robert Tamale (anajulikana sana kama Bobby Tamale) ni mwigizaji na muandaaji wa filamu.

Alianza kazi yake ya kuigiza kupitia 'It Can't Be, tamthilia inayorushwa katika kituo cha televisheni WBS TV. Pia alipewa jina lakwanza la uigizaji kama Davis mwaka 2016 katika filamu ya kiganda ijulikanayo kama The Only Son (2016 filamu)|The Only Son. Pia alikuwa mtayarishaji mtendaji katika filamu.[1][2] Filamu ilipendekezwa katika vipengele sita(6) katika sherehe za filamu Uganda 2016 ikiwemo ubora wa video, ubora wa sauti, toleo bora la filamu, filamu ya mwaka, kiongozi bora wa filamu na filamu bora inayotamba.[3][4] Bobby alikuwa mtayarishaji mtendaji wa Tiktok (filamu)|Tiktok na Love Faces (filamu) zote zikiongozwa na Usama Mukwaya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ‘The Only Son’ premiered. Iliwekwa mnamo 30 July 2016.[dead link]
  2. Kaggwa, Andrew. Richard Mulindwa’s Only Son wins hearts. Iliwekwa mnamo 30 July 2016.
  3. Kaggwa, Andrew. Mulindwa tops Uganda Film festival nominees. Iliwekwa mnamo 26 May 2018.
  4. Official list of Nominees for the 2016 Uganda Film Festival. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-08-19. Iliwekwa mnamo 30 July 2016.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bobby Tamale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.