Nenda kwa yaliyomo

Bob Kahn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bob Kahn
Bob Kahn

Robert Elliot "Bob" Kahn (alizaliwa 23 Desemba 1938) ni mhandisi wa umeme wa Marekani.

Pamoja na Vint Cerf, walivumbua Transmittion control protocol (TCP) na itifaki za intaneti (IP) za msingi za mawasiliano ya mtandaoni.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Kahn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.