Bob Hiltermann
Mandhari
Bob Hiltermann ni Mjerumani ambaye alizaliwa kiziwi.
Alitokea katika filamu ya Children of a Lesser God na akivaa uhusika wa Walter Novak kwenye tamthiliya ya televisheni All My Children. Hiltermann ni miongoni mwa wahusika wa dokumentari yenye kichwa kisemacho See What I'm Saying: The Deaf Entertainers Documentary.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ See What I'm Saying official website Archived 2011-08-27 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bob Hiltermann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |