Bob Albrecht
Mandhari
Bob Albrecht ndiye alikuwa akiangaliwa sana kama mtu mwenye ushawishi mkubwa katika historia ya uvumbuzi wa kompyuta ndogo. Alikuwa ni mmoja wapo wa waanzilishi wa kampuni ijulikanayo kama People's Computer Company na shirika la magazeti ambalo badae lilikuja na kujulikana kama Dr. Dobb's Journal amablo lilikuja kujikita na uandishi wa majarida.
Pia Albrecht amejitoa na kuandika vitabu mbalimbali kuhusiana na msingi wa ufahamu na utendaji kazi wa kompyuta na baadhi ya mada tofauti tofauti kuhusiana na kompyuta[1]. Halikadhalika Bob Albrecht ametajwa na Steven Levy kuwa ni miongoni wa nguli wa watuamiaji wa kompyuta duniani ndani ya: Heroes of the Computer Revolution[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bob Albrecht". www.amazon.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-07-31.
- ↑ "Dr. Dobb's Journal", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-19, iliwekwa mnamo 2022-11-25
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bob Albrecht kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |