Boa Vista, Roraima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Boa Vista, Roraima
Boa Vista

Bendera
Nchi Brazil
Kanda North
Jimbo Roraima
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 249,655
Tovuti:  www.boavista.rr.gov.br

Boa Vista ni jina la mji mkuu wa jimbo la Roraima katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 85 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boa Vista, Roraima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.