Blessing Oborududu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Blessing Oborududu (alizaliwa 12 Machi 1989, huko Gbanranu) ni mwanamke mpiganiaji wa mieleka huru kutoka Nigeria.[1] Kwa sasa, anashika nafasi ya pili ulimwenguni kwa mpiganiaji mwanamke na pia ni mpiganiaji wa kwanza kushinda medali ya Olimpiki akiwakilisha Nigeria katika Michezo ya Olimpiki.[2][3] Pia ni bingwa wa Afrika mara kumi na mbili kuanzia mwaka 2010 hadi 2023.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Blessing Oborududu". London 2012. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 April 2013. Iliwekwa mnamo 2012-09-06.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "Nigeria's Blessing Oborududu qualifies for Olympics wrestling final". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa en-US). 2021-08-02. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-03. Iliwekwa mnamo 2021-08-03. 
  3. "Oborududu wins Nigeria's first-ever Olympic medal in wrestling". TheCable (kwa en-US). 2021-08-03. Iliwekwa mnamo 2022-03-25. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blessing Oborududu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.