Bir el Ater
Mandhari
(Elekezwa kutoka Bir el-Ater)
Bir el Ater (kwa Kiarabu: بئر العاتر) ni mji ulioko mashariki mwa Algeria. Upo kuelekea mpaka na Tunisia, karibu kilomita 87 kusini mwa Tebessa. Una idadi ya wakazi 120,000 katika sensa ya makazi ya mwaka 2017[1]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bir el Ater kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |