Nenda kwa yaliyomo

Big Daddy Weave

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Big Daddy Weave

Maelezo ya awali
Asili yake Mobile, Alabama
Aina ya muziki Kikristo
Nyimbo za Kikristo za Kisasa
Kazi yake Mwanamuziki
Miaka ya kazi 2002 hadi sasa
Studio Fervent Records
Tovuti Tovuti Rasmi
Wanachama wa sasa
Mike Weaver
Jay Weaver
Jeremy Redmon
Jeff Jones
Joe Shirk

Big Daddy Weave ni bendi la nyimbo zakisasa za Kikristo linalojumuisha Mike Weaver, Jay Weaver, Jeremy Redmon, Jeff Jones na Joe Shirk. Nyimbo zao maarufu ni : Everytime Time I Breathe, Audience of One,In Christ,Fields of Grace,Without You na What Life Would Be Like Bendi lao lilitia saini mkataba na studio ya Fervent Records.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Wanachama wa bendi walikutana walipokuwa katika Chuo Kikuu cha Mobile. Mike Weaver alikuwa amehusika kama kiongozi wa ibada katika kanisa Pensacola,Florida na akasoma katika chuo kikuu cha jamii kilichokuwa katika eneo hili. Alienda chuo kikuu baada ya kushawishiwa na mchungaji wa kanisa lao, akaenda kusomea sauti.

Katika miaka yote miwili ya 2006 na 2007, Big Daddy Weave ilienda ziara na Mark Schultz iliyoitwa ziara ya Broken and Beautiful. Katika mwaka wa 2009, waliandamana na mwanamuziki maarufu ,{[Josh Wilson]] katika ziara ya What Would Life Be Like.

Wanachama wa Bendi

[hariri | hariri chanzo]
Saksofoni: ala ya muziki ya aina inayochezwa na Joe Shirk

Wanachama wa bendi hii ni:

  • Mike Weaver - mchezaji wa gitaa,mwimbaji kiongozi (1998-hadi leo)
  • Jay Weaver - mchezaji bass gitaa, mwimbaji (1998-hadi leo)
  • Jeremy Redmon - mchezaji gitaa, mwimbaji msaidizi (1999-hadi leo)
  • Jeff Jones - mchezaji ngoma (1999-hadi leo)
  • Joe Shirk - mchezaji wa saksafoni na piano (1998-hadi leo)

Baadhi za nyumba za wanachama wa Big Daddy Weave ziliharibika katika Kimbunga Ivan cha mwaka wa 2004. Nyumba ya wazazi wa Mike na Jay Weave,iliharibiwa huko Gulf Breeze,Florida.Nyumba hiyo ndiyo iliyokuwa na ofisi za bendi hilo.

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
Gitaa ya aina inayochezwa na Jay Weaver

Albamu za Studio

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Albamu # ya juu kabisa katika chati
Marekani
Billboard
Marekani
Albamu bora za Kikristo
Marekani
Chati ya Heat
Marekani
Chati ya Albamu za kujitegemea
Marekani
Chati ya Albamu za likizo
2001 Neighborhoods
  • 2001
  • Studio: hakuna
2002 One and Only
  • 2002
  • Studio: hakuna
22
2003 Fields of Grace
  • 2003
  • Studio: hakuna
177 8 7
2005 What I Was Made For
  • 2005
  • Studio: hakuna
14 17
2006 Every Time I Breathe 18 10
2008 What Life Would Be Like
  • 22 Julai 2008
  • Studio: Fervent
15
2009 Christ is Come
  • 10 Oktoba 2009
  • Studio: hakuna
5
"—" albamu ambayo haikufika kwenye chati.

Video ya Nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  • Every Time I Breathe (26 Julai 2006)

Albamu wlioshirikishwa

[hariri | hariri chanzo]
  • WOW Worship Yellow - Audience of One (2003)
  • WOW Worship Red - Word of God Speak (2004)
  • WOW Hits 2006 - You're Worthy Of My Praise (2005)
  • WOW Hits 2007 - Without You (2006)
  • WOW Hits 2008 - Every Time I Breathe (2007)
  • WOW Worship Aqua - Let It Rise (2006)
  • The Nativity Story: Sacred Songs]] - The Virgin's Lullaby (2007)
  • WOW Hits 2010 - What Life Would Be Like (2009)

Nyimbo zao

[hariri | hariri chanzo]
  • Just the Way I Am (2006)
  • Without You (2006)
  • Let It Rise (2006)
  • Every Time I Breathe (2007)
  • What Life Would Be Like (2008)
  • You Found Me (2009)
  • We Want the World to Hear (2009)
  • Walishinda miaka mbili mfululizo katika tuzo ya ASCAP ya Muziki ya Kikristo ya 2003 na 2004
  • Kuchaguliwa kama washindani wa tuzo ya Dove ya 2002 ya Waimbaji wapya wa mwaka

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]
  • Audience of One- mojawapo wa nyimbo 25 za ASCAP zilizochezwa katika mwaka wa 2003.
  • Walihusishwa katika Dove Hits (2003)
  • Wakahusishwa katika albamu ya WOW Worship Yellow
  • Wimbo wa In Christ ulikuwa kwenye chati ya R&R AC kwa wiki 24,ukiwa # 2 wakati fulani,huu ndio wimbo pekee yake wa mwimbaji mpya uliofanikiwa sana katika mwaka wa 2002.
  • In Christ - mojawapo wa nyimbo 25 za ASCAP zilizochezwa katika mwaka wa 2002.
  • Albamu ya kwanza, One And Only, iltokea katika chati ya SoundScan ya Kikristo ya nyimbo 5.Nambari bora kabisa kwa waimbaji wapya wa mwaka wa 2002.
  • One And Only - ulibaki katika chati ya SoundScan ya Kikristo ya nyimbo 20 kwa wiki 6.
  1. "Weave In, Weave Out". Collegebound: A Supplement to CCM Magazine: 26–27. Machi 2007. ISSN 48 1524-78 48
  2. Big Daddy Weave

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]