Nenda kwa yaliyomo

Bernice Ofei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bernice Ofei
Nchi Ghana
Kazi yake Mwanamuziki wa injili pia ni mwanabenki kitaaluma

Bernice Ofei ni msanii wa Injili wa nchini Ghana aliyeshinda tuzo ya msanii bora wa Injili. Alishinda Utendaji bora wa kike wa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa mwaka katika Tuzo za Muziki za Vodafone Ghana za 2009 . [1]

Kazi ya kimuziki

[hariri | hariri chanzo]

Bernice Ofei ana albamu ya 6 ambayo alirekodi mwaka 2007 inayoitwa "life". Ambayo ilishinda tuzo mbili wakati wa toleo la 10 la tuzo ya muziki ya MTN nchini Ghana kama Mwigizaji Bora wa Kike wa Sauti na Mtunzi wa Nyimbo wa mwaka. [2]

Bernice kitaaluma ni mwanabenki na amekuwa akifanya kazi na Benki ya Standard Chartered. [3]

  1. Emmanuel Ayamga (Februari 6, 2019). "Focus on your calling, not awards – Bernice Offei advises gospel artistes". Pulse Nigeria. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "GOD HAS BEEN FAITHFUL……BERNICE OFFEI". Modern Ghana. Modern Ghana. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Bernice Offei now into Full Time Music - 233 Live News" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-05. Iliwekwa mnamo 2016-07-31.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernice Ofei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.