Berhane Ras-Work

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Berhane Ras (amezaliwa 1940) ni mwanaharakati wa kupinga ukeketaji kutoka Ethiopia.

Alikuwa mwanzilishi mkuu na rais wa Inter-African Committee on Traditional Practices Affecting the Health of Women and Children (IAC).[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Hoskins, Irene (1998). "Speaking out: An interview with Berhane Ras Work, president, the inter-African committee". Ageing International 24: 85–97.
  2. https://www.thenewhumanitarian.org/report/48494/ethiopia-irin-interview-anti-fgm-activist-berhane-ras-work
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Berhane Ras-Work kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.