Benson Mwailugula Mpesya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Benson Mwailugula Mpesya (amezaliwa tar. 15 Machi 1953) ni mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Benson Mwailugula Mpesya (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.