Benki ya Letshego Tanzania Limited

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benki ya Letshego Tanzania Limited, inajulikana kama Letshego Bank, ni benki ya biashara iliyopo Tanzania.

Imepewa dhamana ya kibenki na Benki Kuu ya Tanzania na bodi ya mifumo ya kibenki ya taifa.[1]

Letshego Bank Tanzania ni benki ya kibiashara inayo ngozwa na Benki kuu ya Tanzania Dhumuni lake kijamii ni kutoa huduma inayokidhi na inayohitajika kifedha kwa watu wa chache, kundi dogo na kundi la watu wa kawaida wajasiriamali na kwa wale wachache waajiriwa wenye kipato kidogo. Pia inafanya kazi kama benki ndogo ya kifedha Kwa mwezi machi 2014 wamiliki waliongeza uwezo kwa €5.2 milioni (US $6.5 milioni au TZS 11.4 bilioni. Kwa muda huo wateja waliwekeza kiasi cha jumla ya €1.8 milioni au (US $2.23 sawa na TZS3.9 Bilioni) . Pia inakadiriwa kuwa jumla ya uwekezaji wote kwa mwez machi 2014 ni €7.0 milioni ( US $8.7 milioni au TZS 15.3 Bilioni. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bank of Tanzania (6 May 2018). The Directory of Banks and Financial Institutions Operating in Tanzania as at 30th June 2017 (PDF). Bank of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-01-27. Iliwekwa mnamo 6 May 2018.
  2. Advans SA, . (March 2014). Advans Bank Tanzania Annual Report April 2013 - March 2014 (PDF). AdvansBankTanzania.Com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 8 November 2014.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Letshego Tanzania Limited kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.