Benigno Luigi Papa
Mandhari
Benigno Luigi Papa (25 Agosti 1935 – 6 Machi 2023) alikuwa askofu kutoka Italia wa Kanisa katoliki. Alikuwa askofu mkuu wa Taranto kuanzia 1990 hadi 2011 na askofu wa Oppido Mamertina-Palmi kutoka 1981 hadi 1990.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "È morto Mons. Papa". Chiesacattolica.it. 6 Machi 2023. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "E' morto monsignor Benigno Luigi Papa, arcivescovo emerito di Taranto". la Repubblica. 6 Machi 2023. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |