Belize (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Belize

Mto Belize (pia:Mto Mzee) ni mto muhimu zaidi nchini Belize mwenye urefu wa 290 km.

Una chanzo chake ambako mito ya Mopan na Macal inapokutana ndani ya Guatemala. Mashua huwezu kuvuka mto kutoka mdomo kwenye bahari ya Karibi hadi mpaka wa Beliza na Guatemala.

Bonde la mto linajaa misitu minene.

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belize (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.