Nenda kwa yaliyomo

Belém

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Belém


Belém
Majiranukta: 1°27′00″S 48°30′00″W / 1.45000°S 48.50000°W / -1.45000; -48.50000
Nchi Brazil
Kanda North
Jimbo Pará
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,408,847
Tovuti:  www.belem.pa.gov.br/new

Belém ni jina la mji mkuu wa jimbo la Pará katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belém kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.