Beatrice Matumbo Shellukindo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Beatrice Matumbo Shellukindo ni mbunge wa jimbo la Kilindi katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Beatrice Matumbo Shellukindo (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.