BeOS

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

BeOS ilikuwa mfumo wa uendeshaji uliotengenezwa na Be Inc na ulioundwa kwa ajili ya matumizi ya midia unuai na matumizi ya kompyuta ya kawaida.

Ilifanya matumizi mazuri ya teknolojia ya kutumia vichakato vingi.

Palm, Inc. ilinunua Be Inc mwaka 2001 na matoleo mapya ya BeOS hayakufanyika.