Mkoa wa Batha
Mandhari
(Elekezwa kutoka Batha (mkoa))
Batha (Kiarabu: البطحة) ni mmoja wa mikoa 23 ya Chad. Huu ni mkoa unaopatikana katikati ya nchi. Umeundwa na kile kilichokuwa awali Batha Prefecture na marekebisho madogo ya mipaka.[1] Mji mkuu wa mkoa huu ni Ati. Takriban watu 527,031 wanaishi katika mkoa huu kwa kulingana na sensa ya mwaka 2009.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ordonnance n° 002/PR/08 portant restructuration de certaines collectivités territoriales décentralisées" [Ordinance No. 002/PR/08 on restructuring of certain decentralized local authorities]. Government of Chad. 19 Februari 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 4, 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari. |