Bassey Akpan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bassey Abobo Akpan (amezaliwa 6 Januari 1984 jijini Eket, Jimbo la Akwa Ibom) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambaye anacheza kama mlinda lango atika klabu ya ligi kuu ya Nigeria (NPFL), Kano Pillars.[1]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Nigeria U-17

  • Mshindi wa Kombe la Dunia la FIFA la U-17: 2001
  • Mshindi wa CAF U-17 Championship: 2001

Nigeria

  • Mshindi wa Kombe la Mataifa ya WAFU: 2010


Taifa[hariri | hariri chanzo]

Bayelsa United

  • Mshindi wa Ligi Kuu ya Soka ya Kulipwa ya Nigeria: 2008-09[2]
  • Nafasi ya tatu: 2007-08[3]

Heartland FC

  • Mshindi wa Kombe la FA la Nigeria: 2011[4]

Akwa United

  • Mshindi wa Kombe la Super Cup ya Nigeria: 2016
  • Mshindi wa Super Four ya Nigeria: 2016

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Heartland FC

  • Mshindi wa pili wa Ligi ya Mabingwa wa CAF: 2009

Bayelsa United

  • Nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF: 2009

Hoang Anh Gia Lai FC

  • Nafasi ya tatu ya V.League 1: 2013

Binafsi[hariri | hariri chanzo]

  • Mshindi wa Globu ya Dhahabu ya Kombe la Dunia la FIFA la U-17 wa mwaka 2001 FIFA U-17 World Championship
  • Mshindi wa Globu ya Dhahabu ya Kombe la Mataifa ya WAFU wa mwaka 2010 WAFU Nations Cup
  • Bingwa Mlinda lango Bora wa V-League 2012

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bassey Akpan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.