Barra do Dande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barabara ipitayo Barra do Dande

Barra do Dande ni mji wenye idadi ya watu wapatao 75,000 mnamo mwaka 2014,[1] mji huu upo katika wilaya ya Dande, jimbo la Bengo,nchini Angola.

Unapatikana katika mdomo wa mto Dande.[2]

Serikali imepanga kujenga Bandari yenye kina kirefu ndani ya mji wa Barra do Dande.[3][4] Bandari hii itakua takriban kilomita 30 kaskazini mwa mji mkuu wa Luanda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Citypopulation.de Population of cities & urban localities in Angola
  2. City councils of Angola. Statoids. Iliwekwa mnamo April 6, 2009.
  3. "Futuro porto da Barra do Dande será um dos maiores de África", Angop, 26 November 2011. Retrieved on 27 March 2012. (Portuguese) [dead link] Article on the presentation at Expotrans by the general director of the Instituto Marítimo e Portuário de Angola, Victor Carvalho
  4. Railway stations in Angola
Flag-map of Angola.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barra do Dande kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.