Barket Bekrar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Barket Bekrar (alizaliwa 17 Februari 1975 huko Martigues, Ufaransa) ni mwanasoka wa zamani wa ufaransa na Algeria ambaye alicheza kama kiungo. Pia Barket Aliichezea klabu ya FC Martigues katika daraja la tatu la Ufaransa na michezo 46 katika Ligue 2 kutoka 2000 hadi 2002.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barket Bekrar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.