Barbara Roberts
Mandhari
Barbara Kay Roberts (alizaliwa Desemba 21, 1936) ni mwanasiasa wa Kiamerika kutoka jimbo la Oregon. Akiwa mzaliwa wa jimbo hilo, alihudumu kama gavana wa 34 wa Oregon kuanzia mwaka 1991 hadi 1995. Alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuhudumu kama gavana wa Oregon, na mwanamke pekee aliyekuchaguliwa katika ofisi hiyo hadi mwaka 2016.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mortenson, Eric. "Metro names attorney as acting chief operating officer; Barbara Roberts sworn in", February 25, 2011.