Bangka
Mandhari
Bangka ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Sumatra. Eneo la kisiwa ni 11,413 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Pangkal Pinang. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 960,000. Lugha mojawapo ambayo huongelewa kisiwani kwa Bangka ni Kisekak.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|