Banga, Entebbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya eneo la Uganda

Banga ni makazi katika jiji la Entebbe nchini katika mkoa wa kati nchini Uganda.[1]

Mahali ilipo[hariri | hariri chanzo]

Banga inapatikana kaskazini magharibi mwa jiji la Entebbe, ikiwa Katabi iko kaskazini mashariki mwa Banga, kijiji cha Lunyo iko kusini mashariki na Kusini mwa Banga. Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda ipo kusini magharibi mwa Banga. Sehemu ya magharibi Banga ipo karibu na maji ya Ziwa Victoria inaitwa Nakiwogo na wakati mwingine huitwa Banga-Nakiwogo.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]