Nenda kwa yaliyomo

Banda Besar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Banda Besar

Banda Besar ni kisiwa cha Indonesia katika funguvisiwa ya Banda pamoja na visiwa vya Run, Naira na Rozengain. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Seram. Watu wanaokaa kisiwani kwa Banda huongea Kikei; zamani pia lugha ya Kibanda iliongelewa kisiwani kwa Banda lakini toka mwaka wa 1987, Wabanda wamehamia kisiwa cha Kei.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.