Bambiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bambiko ni chakula ambacho kinaandaliwa kwa kuchanganya pumba za mahindi na maharagwe.

Chimbuko lake linatokea mkoa wa Pwani kutoka kwa kabila la Wadoe.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bambiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.