Nenda kwa yaliyomo

Bam Adebayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adebayo akiwa na Miami Heat mnamo 2020

Edrice Femi "Bam" Adebayo (amezaliwa Julai 18, 1997) ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Miami Heat katika chama kitaifa cha mpira wa kikapu Marekani (NBA).[1] Alicheza mpira wa kikapu katika chuo kikuu cha Kentucky Wildcats kabla ya kuchaguliwa na Miami Heat na alikuwa chaguo la 14 katika rasimu ya 2017 NBA. katika msimu wa 20 mwaka 2019 aliteuliwa katika kikosi cha nyota wa NBA akiteuliwa katika wa kikosi cha pili cha walinzi wa NBA[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "NBA Games - All NBA matchups | NBA.com". www.nba.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-25.
  2. "Five-star forward Edrice 'Bam' Adebayo picks Kentucky". USA TODAY High School Sports (kwa American English). 2015-11-17. Iliwekwa mnamo 2021-11-25.