Bahri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Bahri
Ramani ya Bahri pamoja na Omdurman na Khartoum

Bahri au "Khartoum Bahri" (Kar: الخرطوم بحري al-Khartūm Bahrī = "Khartoum ya bahari yaani mtoni") ni mji wa Sudan jirani ya Khartoum upande wa kaskazini ya Nile ya buluu. Inaitwa pia "Khartoum ya kaskazini". Hata kama ni mji wa pekee kisheria halisi Bahri pamoja na miji ya Omdurman na Khartoum ni kama mji mmoja mkubwa sana unaounganishwa kwa madaraja kadhaa.

Bahri imekadiriwa kuwa na wakazi milioni 1.6 mwaka 2006.

Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.