Bad Nauheim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya angani ya Bad Nauheim

Bad Nauheim ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 31.111.

Watu maarufu[hariri | hariri chanzo]

James Peace (*1963 - )

Elvis Presley (1935 - 1977)

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bad Nauheim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.