Nenda kwa yaliyomo

Bad Boy Records

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bad Boy Records
Shina la studio Warner Music Group
Imeanzishwa 1993
Mwanzilishi Sean Combs
Usambazaji wa studio Atlantic Records (US)
WEA International (nje ya-US)
Aina za muziki Mbalimbali
Nchi Marekani
Mahala New York City
Tovuti Bad Boy Records

Bad Boy Records (jina kamili ni Bad Boy Entertainment) ni studio ya kurekodia muziki ya East Coast Hip-Hop/R&B iliyoanzishwa na mtayarishaji/rapa maarufu wa Kimarekani Bw. Sean "Diddy" Combs kunako mwaka wa 1993[1]. Leo hii inaendesha shughuli zake za muziki ikiwa chini ya kampuni ya muziki ya Warner Music Group, na kazi zake zinasambazwa na studio ya Atlantic Records.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bad Boy Records kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.