Babi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu mojawapo katika kisiwa cha Babi


Babi ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Simeulue. Kisichanganywe na visiwa viitwavyo Babi vilevile karibu na visiwa vya Aceh au Flores. Watu wakaao kisiwani kwa Babi huongea Kisimeulue.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.