Aziz El Amri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aziz El Amri (alizaliwa tarehe 1 Januari 1950) ni kocha wa soka na mchezaji wa zamani wa Moroko.

El Amri alikuwa kocha wa klabu ya Moghreb Tétouan hadi alipojiuzulu mwezi Desemba 2014.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Aziz el Amri resigns as coach of Moghreb Tetouan". BBC Sport. 13 December 2014. Iliwekwa mnamo 14 December 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aziz El Amri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.