Aziz Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Aziz Ali (alizaliwa mnamo 15 Septemba 1980) ni bondia mchanga kutoka nchi ya Kenya ambaye alifuzu kushiriki katika Olimpiki ya mwaka wa 2008 katika uzito wa "Light-Heavyweight" katika mchuano wa kufuzu kushiriki katika Olimpiki ya mwaka wa 2008 ya AIBA ya 2 licha ya kubanduliwa nje ya mchuani huo na bondia Bastie Samir katika pambano lake la mwisho.

Katika Olimpiki alipoteza mechi yake ya kwanza kwa pointi 3:8 kwa Turk Bahram Muzaffer.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]