Nenda kwa yaliyomo

Avan Jogia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jogia mwaka 2019

Avan Tudor Jogia [1] (alizaliwa 9 Februari 1992) ni muigizaji, mwimbaji, mwandishi na mkurugenzi kutoka Kanada.

Alipata kutambuliwa kwa mara ya kwanza kwa kuigiza kama Danny Araujo katika filamu ya televisheni A Girl Like Me: The Gwen Araujo Storymwaka 2006.[2]

  1. "Meet Danny – Twisted". Freeform. Juni 25, 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 4, 2021. Iliwekwa mnamo Desemba 14, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)Kigezo:Cbignore
  2. Jogia, Avan (2025-02-11). Autopsy (of an Ex-Teen Heartthrob) (kwa Kiingereza). Gallery Books. ISBN 978-1-6680-6227-2.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Avan Jogia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.