Autumn Peltier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Autumn Peltier (amezaliwa 27 Septemba 2004) ni mtetezi wa haki za Wenyeji wa Anishinaabe kutoka Taifa la Kwanza la Wiikwemkoong kwenye Kisiwa cha Manitoulin, Ontario, Kanada. Aliteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa kitengo cha Maji kitaifa Anishinabek mnamo 2019. Mnamo mwaka wa 2018, akiwa na umri wa miaka kumi na tatu, Peltier alihutubia viongozi wa dunia kwenye baraza kuu la Umoja wa mataifa kuhusu suala la ulinzi wa maji[1].[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Autumn Peltier". World Economic Forum (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-11. 
  2. "Water protector Autumn Peltier speaks at UN". UNICEF Global Development Commons (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-11. Iliwekwa mnamo 2023-04-11. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Autumn Peltier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.