Nenda kwa yaliyomo

Augustin Bourry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Augustin-Étienne Bourry (anajulikana kama Augustin Bourry, La Chapelle-Largeau, Deux-Sèvres, 27 Desemba 1826Tibet, 1 Septemba 1854) alikuwa padre wa Shirika la Misheni za Kigeni za Paris (Society of Foreign Missions of Paris). kutoka Ufaransa.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.