Atutur Town

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Uganda
(01°19'25.0"N, 33°53'18.0"E (Latitudo:1.323605; Longitudo:33.888341))

Atutur ni mji ulioko katika mkoa wa mashariki nchini Uganda.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Mji upo barabara ya Tirinyi-Pallisa kupitia Kamonkoli – katika Parokia ya Atutur, Wilaya ya Kumi, takriban kilomita 22 (maili 14) kusini mashariki mwa Mji wa Kumi, ambapo makao makuu ya wilaya yanapatikana.[1] Atutur iko takribani kilomita 48 kaskazini magharibi mwa Mbale, mji mkubwa ulio karibu zaidi .[2] ikiwa na majiranukta (01°19'25.0"N, 33°53'18.0"E (Latitudo:1.323605; Longitudo:33.888341))

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. GFC (13 May 2016). Distance between Atutur, Eastern Region, Uganda and Kumi, Eastern Region, Uganda. Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 13 May 2016.
  2. GFC (13 May 2016). Distance between Mbale, Eastern Region, Uganda and Atutur, Eastern Region, Uganda. Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 13 May 2016.