Athumani Saidi Mwinshehe Janguo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Athumani Saidi Mwinshehe Janguo (amezaliwa tar. 5 Desemba 1936) ni mbunge wa jimbo la Kisarawe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]