Atanasi wa Beni Suef

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Atanasi wa Beni Suef (2 Februari 1923 - 22 Novemba 2000) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Kanisa la Kikopti nchini Misri akijitahidi kuleta urekebisho na kujenga uhusiano mzuri na madhehebu na dini nyingine.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Pieternella van Doorn-Harder: Contemporary Coptic Nuns. University of South Carolina Press, Columbia 1995.
  • Schwester Sara: Schwester Emmanuelle. Meine Freundin und Mutter. Unser Leben für die Müllsammler von Kairo. Tyrolia-Verlag, Innsbruck 2013, S. 23 ff., 213.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.