Nenda kwa yaliyomo

Assomada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Assomada ni mji wa jamhuri ya Cabo Verde iko kisiwani Santiago.

Assomada ikiwa na wakazi 12,332 (2010) ni mji mkubwa wa nne nchini.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Assomada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.