Nenda kwa yaliyomo

Assab

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Assab ni mji wenye bandari uliopo katika mkoa wa Bahari Nyekundu Kusini nchini Eritrea.

Mwaka 2010 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 39,656.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Assab kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.