Nenda kwa yaliyomo

Asmir Begović

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Begović akiwa na Timu ya taifa ya Soka ya Bosnia na Herzegovina mwaka 2015.

Asmir Begović (alizaliwa 20 Juni 1987) ni mchezaji wa soka wa kimataifa kutoka Bosnia ambaye anacheza kama mlinda mlango katika klabu ya Everton F.C. ya ligi Premier.[1][2]

  1. Bill Lankhof. "Asmir's world settled at last", Sun Media Corp., 1 July 2007. 
  2. "Keeper Begovic agrees Yeovil loan", BBC Sport, 7 August 2008. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asmir Begović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.