Asintado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asintado ni tamthiliya ya Ufilipino iliyoigizwa mwaka 2018 na waigizaji kama Paulo Avelino, Aljur Abrenica, Julia Montes, Shaina Magdayao.

Inahusu gavana aliyekuwa mhalifu na gaidi. Gavana huyo aitwaye gavana Salvador del Mundo aliuwawatu wengi katika utawala wake alikuwa muuzaji wa silaha. Aliasili mtoto aliyekuwa akiitwa Katrina na kumbadilisha jina na kumuita Samanta. ambaye alikua ni dada wa Anna. Wazazi wake walifariki kwenye ajali ya moto ambapo salvador del mundo aliwatuma watuwake wakaichome nyumba ya kina katrina pamoja na Anna.Hillary aliyekuwa mke wa salvador alimuasili Katrina na Anna alihasdiliwa na dereva wa tax na alienda kupewa jina Juliana. baada ya miaka mingi Juliana na Katrina walikuja kukutana na kupambana na Salvador Delmundo.

Emoji u1f4fd.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asintado kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.