Asidi ya haidrokloriki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Asidi ya haidrokloriki ni kemikali inayotokana na muunganiko wa molekuli za haidrojeni na klorini.

Asidi ya haidrokloriki huweza kupatikana katika maabara za kisayansi na pia ndani ya tumbo la binadamu.

Asidi hiyo tumboni hutumika katika kuua bakteria wanaokuja pamoja na chakula kilichomezwa na mtu.

Chem template.svg Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asidi ya haidrokloriki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.