Nenda kwa yaliyomo

Aspirini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Combination of
Asidi ya Acetylsalicylic Dawa ya kuzuia kugandamana kwa chembe sahani za damu (Antiplatelet)
Atorvastatin Dawa ya kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (Statin)
Ramipril Kiharibishi cha enzimu kubadilisha Angiotensini
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Iltria, Trinomia, Sincronium, mengineyo[1][2]
Kategoria ya ujauzito ?
Hali ya kisheria ?
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?

Aspirini, pia inajulikana kama asidi asetilsalisiliki (acetylsalicylic acid/atorvastatin/ramipril), ni ni dawa mchanganyiko inayotumiwa kuzuia ugonjwa wa moyo na kiharusi.[3] inayopunguza maumivu ya kuzuia mwasho (nonsteroidal anti-inflammatory) na inayotumika kupunguza maumivu, homa, na/au kuvimba, na kama antithrombotic.

Hali mahususi za mwasho ambazo aspirini hutumiwa kutibu ni pamoja na ugonjwa wa Kawasaki, perikaditisi (pericarditis), na homa ya maambukizi ya kooni ambayo haya kutibiwa vyema.

Kufuatia mshtuko wa moyo hupunguza hatari ya kifo kutokana na ugonjwa wa moyo kwa karibu theluthi.[2] Inachukuliwa kwa mdomo.[4] Mchanganyiko huu ni rahisi kutumia kwa baadhi ya watu kuliko vipengele vyake vyake kila kimoja kivyake.[4]

Madhara yake ni yale ya vipengele vyake kila kimoja kivyake.[1] Ni mchanganyiko wa asidi acetylsalicylic (aspirin), ambayo ni dawa ya kuzuia kugandamana kwa chembe sahani za damu(antiplatelet); atorvastatin, ambayo ni dawa ya kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (statin) ; na ramipril, ambayo ni kizuizi cha ACE (kiharibishi cha enzimu kubadilisha Angiotensini).[1]

Mchanganyiko huu uliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu katika sehemu za Ulaya na Amerika ya Kusini mwaka wa 2014.[1][5] Kufikia mwaka wa 2023, ilipatikana katika nchi 25.[2] Haijakuwa ikipatikana nchini Marekani kufikia mwaka wa 2023.[2] Iko kwenye Orodha ya Dawa Muhimu ya Shirika la Afya Ulimwenguni.[6] Mbadala wake unaweza kutengenezwa na dawa za kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (statins) tofauti au vizuizi vya ACE.[4] Vijenzi hivi kwa ujumla ni madawa ya kawaida.[4] Ni aina ya kidonge mseto (polypill).[7] Dawa hii iligharimu takriban €10 hadi €40 kwa mwezi kufikia mwaka wa 2016. [5]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 "Iltria" (PDF). HAS. Juni 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 9 Septemba 2023. Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 "World Health Organization Includes the Cardiovascular Polypill in Its List of Essential Medicines After a Groundbreaking Study Led by the President of Mount Sinai Heart | Mount Sinai - New York". Mount Sinai Health System. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Agosti 2023. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "eEML - Electronic Essential Medicines List". list.essentialmeds.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Septemba 2023. Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 "eEML - Electronic Essential Medicines List". list.essentialmeds.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Septemba 2023. Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. 5.0 5.1 "Cardiovascular Polypill" (PDF). Wellcome Trust. 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 4 Februari 2023. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. World Health Organization (2023). The selection and use of essential medicines 2023: web annex A: World Health Organization model list of essential medicines: 23rd list (2023). Geneva: World Health Organization. hdl:10665/371090. WHO/MHP/HPS/EML/2023.02.
  7. "'Polypill' helps reduce cardiovascular deaths after heart attack". www.medicalnewstoday.com (kwa Kiingereza). 2 Septemba 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Mei 2023. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aspirini kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.