Ashley Cariño
Ashley Ann Cariño Barreto (aliyezaliwa Florida, 3 Agosti 1994) ni mwanamitindo kutoka Puerto Rico, mshindi wa Miss Universe Puerto Rico 2022. Atawakilisha Puerto Rico kwenye Miss Universe 2022.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Ashley Ann Cariño Barreto is Miss Universe Puerto Rico 2022 (en-US) (12 Agosti 2022). Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2022-08-31.