Nenda kwa yaliyomo

Aryanah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aryanah ni mji mkuu wa wilaya ya Ariana huko Tunisia.

Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 114,486. Hivyo ni mji wa nane kwa ukubwa nchini Tunisia, na upo karibu na mji mkuu Tunisi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aryanah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.