Nenda kwa yaliyomo

Arusha Secondary School

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arusha Secondary School ni shule ya sekondari iliyoko huko Arusha, Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Tanganyika kupata uhuru. Ni shule ya kwanza nchini Tanzania kuongozwa na mwanamke Mtanzania aliyesoma nchini Marekani. [1]

Mnamo 2018 shule hiyo ilikuwa na wanafunzi 800 wa kike. [2]

  1. "Remembering ambassador Giovinella Gonthier (January 11, 1949 - May 21, 2012)", Seychelles Weekly. Retrieved on 13 June 2020. Archived from the original on 2024-01-18. 
  2. Kottasová, Ivana (2018-10-11). "Mandatory pregnancy tests are the one exam these schoolgirls can't afford to fail". CNN. Iliwekwa mnamo 2018-10-11.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arusha Secondary School kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.