Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha
Mandhari
(Elekezwa kutoka Arusha International Conference Centre)
| Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha English: Arusha International Conference Centre | |
|---|---|
| Anuani | Mtaa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki |
| Mahali | Arusha, Tanzania |
| Anwani ya kijiografia | 3°22′4″S 36°41′46″E / 3.36778°S 36.69611°E |
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
| Opareta | Wizara ya Mambo ya Nje |
| Kilifunguliwa | 1977 |
| Uwezo | |
| Mtindo wa kukalia darasani | 25-70 |
| Kukalia Ukumbi | 160-1,350 |
| Mtindo wa karamu | 130-2,500 |
| Eneo la ndani | |
| Jumla ya eneo | mita za mraba 5,420 |
| Tovuti | aicc.co.tz |
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa mjini Arusha nchini Tanzania.